Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

00:00
00:00

Samenvatting van de aflevering

Safari ya kuwa mkimbizi si rahisi Skiza makala kufahamu mengi.

Afleveringen

385-

Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump

Safari ya kuwa mkimbizi si rahisi Skiza makala kufahamu mengi.

09 nov. 2026
384-

Tanzania : Amnesty yatahumu serikali

Katika ripoti ya yake shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty international, limethumu serikali ya Tanzania kwa kufumbia macho wahusika walioshiriki vurugu za kipindi cha uchaguzi mwaka uliopita. Kuelewa zaidi ripoti hiyo nimemtafuta mmoja wa watafiti wa Amnesty international, bwana Sikula Oniala, mtafiti wa Amnesty kufafanua ripoti hiyo. Skiza makala kufahamu mengi.

02 nov. 2026
383-

Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema

Lydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi

22 okt. 2026
382-

Africa : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI

Mataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ? Skiza makala haya

17 okt. 2026
381-

Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani

Katika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala

10 okt. 2026